BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عنْ أَبِي سَعيد الْخُدريِّ رضي اللَّه عنه عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: «أَفْضَلُ الْجِهَادِ كَلِمَةُ عَدْلٍ عندَ سلْطَانٍ جائِرٍ »    رواه أبو داود ، والترمذي وقال: حديثٌ حسنٌ


Kutoka kwa Abu Sa’iyd Al-Khudriy Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Jihadi iliyo bora kabisa ni kusema neno la uadilifu mbele ya Mtawala jeuri.]     [Imepokewa na Abu Dawuud na At-Tarmidhiy na amesema Hadithi hii ni Hasan]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



comments