Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن النعْمانِ بنِ بَشيرٍ رضي اللَّه عنهما عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « مَثَلُ القَائِمِ في حُدودِ اللَّه ، والْوَاقِعِ فيها كَمَثَلِ قَومٍ اسْتَهَمُوا على سفينةٍ فصارَ بعضُهم أعلاهَا وبعضُهم أسفلَها وكانَ الذينَ في أسفلها إِذَا اسْتَقَوْا مِنَ الماءِ مَرُّوا عَلَى مَنْ فَوْقَهُمْ فَقَالُوا : لَوْ أَنَّا خَرَقْنَا في نَصَيبِنا خَرْقاً وَلَمْ نُؤْذِ مَنْ فَوْقَنَا ، فَإِنْ تَرَكُوهُمْ وَمَا أَرادُوا هَلكُوا جَمِيعاً ، وإِنْ أَخَذُوا عَلَى أَيْدِيهِم نَجوْا ونجوْا جَمِيعاً » .     رواهُ البخاري

القَائمُ في حُدودِ اللَّه تعَالى » مَعْنَاهُ : المُنْكِرُ لها ، القَائمُ في دفعِهَا وإِزالَتِهَا والمُرادُ بِالحُدودِ : مَا نهى اللَّه عَنْهُ : «اسْتَهَمُوا » : اقْتَرعُوا


Kutoka kwa An-Nu’maan bin Bashiyr Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Mfano wa mwenye kusimama juu ya mipaka ya Mwenyezi Mungu na (mfano) wa wale walioingia ndani (kwa kuvuka mipaka hiyo), ni mfano wa watu waliopiga kura (kuingia) katika Jahazi, baadhi yao wakawa juu na wengine wakawa chini. wakawa wale waliokuwa chini wanapotaka wanataka maji ya kunywa wanawaomba walioko chini wakasema: Lau sisi tukitoboa tundu katika sehemu yetu (hii ya chini) ili tusiwaudhi waliko juu yetu. Ikiwa (watu wa juu) wataacha wafanye wanayoyataka basi wataangamia wote, na wakiwashika mikono yao basi wataokoka wao na wote kwa pamoja.]     [Imepokewa na Bukhari ]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6573137
TodayToday1204
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 15

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682878f24e45020361071341747482866
title_682878f24e56f20186416661747482866
title_682878f24e6894216671171747482866

NISHATI ZA OFISI

title_682878f24f54c15473027681747482866
title_682878f24f62e21287882331747482866
title_682878f24f70d16713706241747482866 Add content here

HUDUMA MPYA

: 10 + 14 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com