Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{قال تعالى : {وَلْتَكُن مِّنكُمْ أُمَّةٌ يَدْعُونَ إِلَى الْخَيْرِ وَيَأْمُرُونَ بِالْمَعْرُوفِ وَيَنْهَوْنَ عَنِ الْمُنكَرِ ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ

{قال تعالى : {كُنتُمْ خَيْرَ أُمَّةٍ أُخْرِجَتْ لِلنَّاسِ تَأْمُرُونَ بِالْمَعْرُوفِ وَتَنْهَوْنَ عَنِ الْمُنكَرِ وَتُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ

{قال تعالى : {خُذِ الْعَفْوَ وَأْمُرْ بِالْعُرْفِ وَأَعْرِضْ عَنِ الْجَاهِلِينَ

{قال تعالى : {وَالْمُؤْمِنُونَ وَالْمُؤْمِنَاتُ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ يَأْمُرُونَ بِالْمَعْرُوفِ وَيَنْهَوْنَ عَنِ الْمُنكَرِ

{قال تعالى : {لُعِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن بَنِي إِسْرَائِيلَ عَلَىٰ لِسَانِ دَاوُودَ وَعِيسَى ابْنِ مَرْيَمَ ۚ ذَٰلِكَ بِمَا عَصَوا وَّكَانُوا يَعْتَدُونَ  كَانُوا لَا يَتَنَاهَوْنَ عَن مُّنكَرٍ فَعَلُوهُ ۚ لَبِئْسَ مَا كَانُوا يَفْعَلُونَ

 {قال تعالى : {وَقُلِ الْحَقُّ مِن رَّبِّكُمْ ۖ فَمَن شَاءَ فَلْيُؤْمِن وَمَن شَاءَ فَلْيَكْفُرْ

{قال تعالى : {فَاصْدَعْ بِمَا تُؤْمَرُ

{قال تعالى : {أَنجَيْنَا الَّذِينَ يَنْهَوْنَ عَنِ السُّوءِ وَأَخَذْنَا الَّذِينَ ظَلَمُوا بِعَذَابٍ بَئِيسٍ بِمَا كَانُوا يَفْسُقُونَ


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na uwe kutokana na nyinyi umma unao lingania kheri na unao amrisha mema na unakataza maovu. Na hao ndio walio fanikiwa.]       [Suurat Al 'Imran:104]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu, kwa kuwa mnaamrisha mema na mnakataza maovu, na mnamuamini Mwenyezi Mungu.]       [Suurat Al 'Imran:110]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Shikamana na kusamehe, na amrisha mema, na jitenge na majaahili.]       [Suurat Al-A'raaf:199]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu.]       [Suuratut Tawba:71]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Walilaaniwa walio kufuru miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka.Walikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya. Ha]       [Suurat Al-Maida:78-79]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na sema: Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi atakaye, aamini. Na atakaye, akatae.]       [Sura Al Kahf:29]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Basi wewe yatangaze uliyo amrishwa,]       [Suuratul Hijr:94]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Tuliwaokoa walio kuwa wakikataza maovu, na tukawatesa walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya upotovu.]       [Suurat Al-A'raaf:165]


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

7887167
TodayToday300
Highest 05-20-2026 : 12580
US
Guests 75

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6a3ba71d71e4212082866711782294301
title_6a3ba71d71e9215981892291782294301
title_6a3ba71d71edf14381767891782294301

NISHATI ZA OFISI

title_6a3ba71d7249315608261541782294301
title_6a3ba71d724e020827219411782294301
title_6a3ba71d7252b20137625931782294301 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 3 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com