BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عَنْ أَنَس رضي اللَّه عنه عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « لاَ يُؤْمِنُ أَحَدُكُمْ حَتَّى يُحِبَّ لأَخِيهِ مَا يُحِبُّ لِنَفْسِهِ »  متفقٌ عليه


Kutoka kwa  Anas Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba: Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Hatoamini mmoja wenu mpaka ampendelee nduguye kile anachopendelea nafsi yake.]  [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments