BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي رُقيَّةَ تَميمِ بنِ أَوْس الدَّارِيِّ رضي اللَّه عنه أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: « الدِّينُ النَّصِيحَةُ » قُلْنَا : لِمَنْ ؟ قَالَ « للَّه وَلِكِتَابِهِ ولِرسُولِهِ وَلأَئمَّةِ المُسْلِمِينَ وَعَامَّتِهِمْ »     رواه مُسْلم


Kutoka kwa Abu Ruqayyah Tamiym ibn Aws Ad-Daariyy Radhi za Allah ziwe juu yake  Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Dini ni nasiha] Tukasema, kwanini? Akasema: “Kwa Allaah, na kitabu Chake, na Mtume wake, na kwa viongozi wa Waislamu na watu wote.]     [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments