BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وَعَنْ أَبِي موسى الأَشْعَرِيِّ رضيَ اللَّهُ عنه ، عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أَنَّهُ قال: « الخَازِنُ المُسْلِمُ الأَمِينُ الذي يُنَفِّذُ ما أُمِرَ بِهِ ، فَيُعْطِيهِ كَامِلاً مَوفَّراً ، طَيِّبَةً بِهِ نَفْسُهُ فَيَدْفَعُهُ إِلى الذي أُمِرَ لَهُ بِهِ أَحَدُ المُتَصَدِّقَيْنِ »     متفقٌ عليه

وفي رواية : « الذي يُعْطِي مَا أُمِرَ بِهِ


Kutoka kwa Abuu Muwsaa Al-Ash’ariy Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema: [Muweka hazina Muislamu, ni yule aliye mwaminifu anaetekeleza anayoamrishwa akatoa kwa ukamilifu ilihali nafsi yake iko safi akampa yule alieamrishwa kumpa, basi huyo ni kaitka wenye  kutoa Sadaka.]

Na katika Riwaya nyengine: [Yule ambaye anatoa katika yale aliyomrishwa.]    [Imepokewa na Bukhri na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments