BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن ابنِ عباسٍ رضي اللَّه عنهما أَنَّ رسُولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لَقِيَ ركْباً بالرَّوْحَاءِ فقال: «مَنِ الْقوْمُ ؟ » قالُوا : المُسْلِمُونَ ، فَقَالُوا : مَنْ أَنْتَ ؟ قال : «رسولُ اللَّه» فَرَفَعَتْ إِلَيْهِ امْرَأَةٌ صَبِيًّا فَقَالَتْ : أَلَهَذَا حَجٌّ ؟ قال : « نَعمْ وَلَكِ أَجْرٌ »     رواه مسلم


Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ alikutana na Msafara fulani kutoka (sehemu inaoitwa) Rawhaa (karibu na Madina)  akawauliza: [Ni watu gani Hawa ?]  Wakasema: “Ni Waislamu.” na wao wakamuliza: “Wewe ni nani?”  Akasema: [Mtume wa Mwenyezi Mungu.] Mwanamke mmoja (aliyekwepo) alimnyanyua mtoto mdogo na kuuliza: “Je,huyu ana hijja?”  Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ akamjibu : [Ndio, na wewe una ujira (kwa hilo).]    [Imepokewa na Muslim ]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments