BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبي عبدِ الرحمن زيدِ بن خالدٍ الْجُهَنيِّ رضيَ اللَّه عنه قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : مَنْ جهَّزَ غَازِياً في سَبِيلِ اللَّه فَقَدْ غَزَا وَمَنْ خَلَفَ غَازِياً في أَهْلِهِ بِخَيْرٍ فَقَدْ غَزَا»   متفقٌ عليه


Kutoka Kwa Abuu ‘Abdur-Rahmaan Zayd bin Khaalid Al-Juhaniy Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema: [Atakaemwandaa mpiganaji  katika njia ya Mwenyezi Mungu huyo naye amepigana, na atakaemsimamia mpiganaji katika Familia yake kwa kheri, naye amepigana.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments