BUSTANI YA WATU WEMA


RIYADHU


وعن أَبِي مسعودٍ عُقبَةَ بْن عمْرٍو الأَنْصَارِيِّ رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ دَلَّ عَلَى خَيْرٍ فَلهُ مثلُ أَجْرِ فَاعِلِهِ »      رواه مسلم


Kutoka kwa Abii Mas’uwd Uqbah bin Amru Al Answariy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu  : [Mwenye kujulisha kheri, atapa Ujira kama wa Mwenye kutenda.]       [Imepokewa na Muslim]


 
comments