BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{وقال تعالى : {وَادْعُ إِلَىٰ رَبِّكَ

{وقال تعالى : {ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ

{وقال تعالى : {وَتَعَاوَنُوا عَلَى الْبِرِّ وَالتَّقْوَىٰ

{وقال تعالى : {وَلْتَكُن مِّنكُمْ أُمَّةٌ يَدْعُونَ إِلَى الْخَيْرِ


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na lingania kwa Mola wako Mlezi.]       [Surat Al-Furqan:74]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema]       [Suurat An Nahl:125]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na saidianeni katika wema na uchamngu]       [Suurat Al-Maida:2]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na uwe kutokana na nyinyi umma unao lingania kheri]       [Suurat Al 'Imran:104]


 
comments