BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن ابن مسعودٍ رضي اللَّه عنه أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « ليس مِنْ نفْسٍ تُقْتَلُ ظُلماً إِلاَّ كَانَ عَلَى ابنِ آدمَ الأوَّلِ كِفْلٌ مِنْ دمِهَا لأَنَّهُ كَان أَوَّل مَنْ سَنَّ الْقَتْلَ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Ibn Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema: [Hakuna nafsi yeyote inayouliwa kwa dhulma isipokuwa yule mwanadamu wa kwanza atapata sehemu yake ya madhambi kwani yeye ndiye wa kwanza aliyeweka mtindo wa kuuwa.]       [Imepokewa na Bukhari Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments