BUSTANI YA WATU WEMA
{وقال تعالى : {وَالَّذِينَ يَقُولُونَ رَبَّنَا هَبْ لَنَا مِنْ أَزْوَاجِنَا وَذُرِّيَّاتِنَا قُرَّةَ أَعْيُنٍ وَاجْعَلْنَا لِلْمُتَّقِينَ إِمَامًا
{وقال تعالى : {وَجَعَلْنَاهُمْ أَئِمَّةً يَهْدُونَ بِأَمْرِنَا
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na wale wanao sema: Mola wetu Mlezi! Tupe katika wake zetu na wenetu yaburudishayo macho, na utujaalie tuwe waongozi kwa wachamngu.] [Surat Al-Furqan:74]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na tukawafanya maimamu wakiongoa watu kwa amri yetu] [Suuratul Anbiyaa:73]
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 864 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.