BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن عائشةَ  رضي اللَّه عنها ، قالت قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « منْ أَحْدثَ في أَمْرِنَا هَذَا مَا لَيْسَ مِنْهُ فهُو رَدٌّ »  متفقٌ عليه
وفي رواية لمسلمٍ : « مَنْ عَمِلَ عمَلاً لَيْسَ عَلَيْهِ أَمْرُنَا فَهُو ردٌّ


Kutoka kwa Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume  [Mwenye kuzua katika jambo letu hili (Dini) lisilokuwemo humo litarudiswa.]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine ya Muslim: [Mwenyekufanya amali isiyokuwa katika Dini yetu, itarudishwa.]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

comments