BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين 


وعنْ عابسِ بن ربيعةَ قال : رَأَيْتُ عُمَرَ بنَ الخطاب ، رضي اللَّه عنه ، يُقَبِّلُ الْحَجَرَ     يَعْنِي الأَسْوَدَ ويَقُولُ : إِني أَعْلَمُ أَنَّكَ حَجَرٌ مَا تَنْفَعُ ولا تَضُرُّ ، ولَوْلا أنِّي رأَيْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، يُقَبِّلُكَ ما قَبَّلْتُكَ ..   متفقٌ عليه


Kutoka kwa Aabis bin Rabiy’h amesema: Nilimuona ‘Umar bin Al-Khattwaab Radhi za Allah ziwe juu yake akilibusu Hajarul Aswad (jiwe jeusi) na akasema: Hakika najua wewe ni jiwe, hunufaishi wala hudhuru, lau kama nisingelimuona Mtume ﷺ akikubusu nisingelikubusu ]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 
comments