BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين 


عَنْ أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه أَن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ : « كُلُّ أُمَّتِي يدْخُلُونَ الْجنَّةَ إِلاَّ مَنْ أَبِي » . قِيلَ وَمَنْ يَأَبى يا رسول اللَّه ؟ قالَ : « منْ أَطَاعَنِي دَخَلَ الجنَّةَ ، ومنْ عصَانِي فَقَدْ أَبِي »    رواه البخاري


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema  Mtume [Umma wangu wote wataingia Peponi isipokuwa atakayekataa.] Akaulizwa: “Ni yupi atakayekataa Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu ? Akajibu: [Atakayenitii mimi ataingia Peponi, na atakayeniasi basi amekataa.]      [Imepokewa na Bukhari]


 
comments