Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن ابن عباس رضي اللَّه عنهما قال : بيْنما النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَخْطُبُ إِذَا هُوَ بِرجُلٍ قَائِمٍ ، فسأَلَ عَنْهُ فَقَالُوا : أَبُو إِسْرائيلَ نَذَر أَنْ يَقُومَ فِي الشَّمْس وَلا يقْعُدَ ، ولا يستَظِلَّ ولا يتَكَلَّمَ ، ويصومَ ، فَقالَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مُرُوهُ فَلْيَتَكَلَّمْ  وليقعد ولْيَستَظِلَّ ولْيُتِمَّ صوْمَهُ »    رواه البخاري


Kutoka kwa Ibnu Abbas Radhi za Allah ziwe juu yao Amesem: Mtume ﷺ alipokuwa ana khutubia, mara akamuona mtu amesimama. Akauliza kuhusu mtu huyo. Akaambiwa kuwa huyo ni Abuu Israaiyl ambaye ameweka nadhiri atasimama katika jua wala hatokaa, wala hatajikinga na kivuli, wala hatazungumza na amefunga. Basi Mtume ﷺ akasema: [Mwambieni azungumze, na akae chini, na akae kivulini, na atimize Saumu yake.]     [Imepokewa na Bukhari]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 114

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e16d348e82905582431791549805
title_6ac8e16d3493917799887651791549805
title_6ac8e16d349873322903021791549805

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e16d4a7c69637701521791549805
title_6ac8e16d4a81f19914450721791549805
title_6ac8e16d4a86d6146845341791549805 Add content here

HUDUMA MPYA

: 14 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com