BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبِي عبد اللَّه جابر بن سمُرَةَ رضي اللَّهُ عنهما قال : كُنْتُ أُصَلِّي مَعَ النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم الصَّلَوَاتِ ، فَكَانَتْ صلاتُهُ قَصداً وخُطْبَتُه قَصْداً » رواه مسلم
قولُهُ : قَصْداً : أَيْ بَيْنَ الطُّولِ وَالْقِصَرِ
Kutoka kwa Abuu Abdillaah, Jaabir bin Samurah Radhi za Allah ziwe juu kwamba Mtume ﷺ Amesema: [Nilikuwa nikiswali pamoja na Mtume ﷺ baadhi ya Swala, na ilikuwa Swala yake ni ya wastani na khutbah yake ilikuwa ni wastani.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 953 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.