BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن عائشة رضي اللَّه عنها أن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِذَا نَعَسَ أَحدُكُمْ وَهُوَ يُصَلِّي ، فَلْيَرْقُدْ حَتَّى يَذْهَبَ عَنْهُ النَّوْمُ ، فإِن أَحدَكم إِذَا صلَّى وهُو نَاعَسٌ لا يَدْرِي لعلَّهُ يذهَبُ يسْتَغْفِرُ فيَسُبُّ نَفْسَهُ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Aisha Radhi za Allah ziwe juu kwamba Mtume Amesema:[Anaposinzia mmoja wenu huku akiwa anaswali, basi alale mpaka usingizi utakapommalizikia kwani mmoja wenu atakaposwali na hali anasinzia, hatofahamu anayoyasema, hivyo huenda akawa anakusudia kuomba msamaha kumbe anaitukana nafsi yake. ]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments