BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عنْ أَنَسٍ رضي اللَّه عنه  قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « إِنَّ اللَّه لَيرْضَى عَنِ الْعَبْدِ أَنْ يَأْكُلَ الأَكْلَةَ فيحْمدَهُ عليْهَا ، أَوْ يشْربَ الشَّرْبَةَ فيحْمدَهُ عليْهَا »   رواه مسلم


Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimsikia Mtume  akisema: [Mwenyezi Mungu Humridhia mja anapokula mlo mmoja, Amshukuru Mwenyezi Mungu kwa kukila, au anapokunya funda moja la maji Amshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunywa hicho kinywaji.]    [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments