BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عنْ جابرٍ رضي اللَّه عنه قال : قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « كُلُّ معرُوفٍ صدقَةٌ »   رواه البخاري ، ورواه مسلم مِن رواية حذَيفَةَ رضي اللَّه عنه


Kutoka kwa Jaabir Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume : [Kila kitendo chema ni sadaka]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim ameipokea kwa Riwaya kutoka kwa Hadhayfa radhi za Allah ziwe juu yake]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



134. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubainifu wa Njia nyingi za Kheri Hadithi ya 18 
comments