BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي موسى الأشعري رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « إِذَا مرِضَ الْعبْدُ أَوْ سافَر كُتِب لَهُ ما كانَ يعْملُ مُقِيماً صحيِحاً »   رواه البخاري


Kutoka kwa Abuu Muwsaa Al-Ash’ariyy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume : [Mja atakapougua au akasafiri, ataandikiwa mfano wa aliyokuwa akiyatenda alipokuwa nyumbani na alipokuwa mzima]        [Imepokewa na Bukhari]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments