BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي موسى الأشعري رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « منْ صلَّى الْبَرْديْنِ دَخَلَ الْجنَّةَ »   متفقٌ عليه


Kutoka kwa Abuu Muwsaa Al-Ash’ariyy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume : [Atakayeswali Swala za Baridi Mbili (Swala ya Al-Fajr na Al-‘Aswr) ataingia Peponi.]        [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments