BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنْه قالَ : قَال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « منْ توضَّأ فأحَسَنَ الْوُضُوءَ ، ثُمَّ أتَى الْجُمعةَ ، فَاستمع وأنْصتَ ، غُفِر لَهُ ما بيْنَهُ وبيْنَ الْجُمعةِ وزِيادةُ ثَلاثَةِ أيَّامٍ ، ومَنْ مسَّ الْحصا فَقد لَغَا »     رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesma: Mtume  Amesema: [Atakayetawadha vizuri kisha akaenda katika Swala ya Ijumaa, akasikiliza (Khutba) na akaipulika; atasamehewa baina ya Ijumaa hiyo na Ijumaa nyingine na ziada ya siku tatu, na atakayepangusa vijiwe ameshafanya upuuzi.]      [Imepokewa na Muslim]


 
comments