Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه عن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « الإِيمَانُ بِضْعٌ وَسبْعُونَ ، أوْ بِضْعٌ وَسِتُّونَ شَعْبَةً : فَأفْضلُهَا قوْلُ لاَ إلَهَ إلاَّ اللَّهُ ، وَأدْنَاهَا إمَاطَةُ الأذَى عنِ الطَّرِيقِ ، وَالحيَاءُ شُعْبةٌ مِنَ الإِيمانِ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ Amesema: [Imani ni tanzu (matawi) sabini na kitu” au alisema: “ni tanzu (matawi) sitini na kitu, iliyo bora zaidi ni kusema: Laa Ilaaha illa-Allaah (Hapana Mola apase kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu). Na ya chini ni kuondoa takataka njiani; na hayaa ni tawi katika matawi ya Imani.]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 120

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1a3ae30613798262581791549859
title_6ac8e1a3ae35820363150741791549859
title_6ac8e1a3ae3a54016768261791549859

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1a3ae9a5664088551791549859
title_6ac8e1a3ae9f33404524941791549859
title_6ac8e1a3aea4010360901621791549859 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 3 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com