BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن جابر رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « يُبْعثُ كُلُّ عبْدٍ على ما مَاتَ علَيْهِ »    رواه مسلم


Kutoka Jaabir Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume : [Kila mja atafufuliwa katika hali aliyokufa nayo.]     [Imekewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments