BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أنسٍ رضي اللَّهُ عنه قال : إنَّ اللَّه عزَّ وجلَّ تَابعَ الوحْيَ على رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَبْلَ وَفَاتِهِ ، حتَّى تُوُفِّى أكْثَرَ مَا كَانَ الْوَحْيُ . متفقٌ عليه


Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake  amesema: [Mwenyezi Mungu Alimteremshia Mtume Wahyi kwa wingi kabla ya kufariki kwake, alipofariki Wahyi ulikuwa umeshateremka mwingi.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments