BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه ، عن النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «أعْذَرَ اللَّهُ إلى امْرِىءٍ أخَّرَ أجلَه حتى بلَغَ سِتِّينَ سنةً »   رواه البخارى


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amepokea kutoka kwa Mtume  amesema: [Mwenyezi Mungu Hakumbakishia udhuru mtu Aliyemuakhirishia Ajali yake hata akafikia umri wa miaka sitini.]     [Imepokewa na Bukhari]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments