BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي صَفْوانَ عبدِ اللَّه  بن بُسْرٍ الأسلَمِيِّ، رضي اللَّه عنه، قال: قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: «خَيْرُ النَّاسِ مَن طالَ عمُرُه وَحَسُنَ عملُه»    رواه الترمذي، وقال حديثٌ حسنٌ


Kutoka kwa Abuu Swafwaan, ‘Abdullaah bin Busri Al-Aslamiy Radhi za Allah ziwe juu yake  amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ : [Mbora katika watu ni yule ambaye umri wake umerefuka na ‘amali zake zikawa mzuri.]      [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amsema: Hadiyth hii ni Hasan]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments