BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن ابن مسعودٍ رضيَ اللَّهُ عنه قال: قال النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: «الجنة أقَربُ إلى أَحدِكُم مِنْ شِراكِ نَعْلِهِ والنَّارُ مِثْلُ ذلِكَ»  رواه البخاري


Kutoka kwa‘Abdullaa bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake  amesema: Amesema Mtume ﷺ: [Pepo ipo karibu zaidi kwa mmoja wenu kulikoni mkanda wa kiatu chake, na Moto ni hivyo hivyo.]      [Imepokewa na Bukhari]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments