BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن ابن مسعودٍ رَضِيَ اللَّهُ عنه قال: صلَّيْت مع النَبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لَيلَةً، فَأَطَالَ الْقِيامَ حتَّى هممْتُ أَنْ أجْلِسَ وَأدعَهُ.   متفقٌ عليه


Kutoka kwa‘Abdullaah bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake  amesema : "Usiku mmoja niliswali na Mtume ﷺ akarefusha kisimamo hata nilifikiria nikae chini na nimuache Mtume ﷺ"  (aendele na swala) ]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments