BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن عائشة رضي اللَّه عنها أنها قالت: «كان رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إذَا دَخَلَ الْعشْرُ أحيا اللَّيْلَ، وأيقظ أهْلهْ، وجدَّ وشَدَّ المِئْزَرَ»   متفقٌ عليه


Kutoka kwa Kutoka kwa ‘Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake: Amesema: [Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Linapoingia kumi la Mwisho (katika mwezi wa Ramadhan) hukesha usiku, na akiwaamsha watu wa nyumbani kwake (wake zake) akijipinda na kukaza kikoi chake.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments