BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


   قال اللَّه تعالى : {وَالَّذِينَ جَاهَدُوا فِينَا لَنَهْدِيَنَّهُمْ سُبُلَنَا ۚ وَإِنَّ اللَّهَ لَمَعَ الْمُحْسِنِينَ}       العنكبوت:69

 

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na wanao fanya juhudi kwa ajili yetu, Sisi tutawaongoa kwenye njia zetu. Na hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na watu wema]     [Suurat Al A'nkabut:29]

 

99:وقال تعالى :{وَاعْبُدْ رَبَّكَ حَتَّىٰ يَأْتِيَكَ الْيَقِينُ}   الحجر

 

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na muabudu Mola wako Mlezi mpaka ikufikie Yakini.]      [Suuratul Hijr:99]

 

8:وقال تعالى :{وَاذْكُرِ اسْمَ رَبِّكَ وَتَبَتَّلْ إِلَيْهِ تَبْتِيلًا}   المزمل

 

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na lidhukuru jina la Mola wako Mlezi, na ujitolee kwake kwa ukamilifu.]       [Surat Al-Muzzammil:8]

 

20:وقال تعالى :{وَمَا تُقَدِّمُوا لِأَنفُسِكُم مِّنْ خَيْرٍ تَجِدُوهُ عِندَ اللَّهِ هُوَ خَيْرًا وَأَعْظَمَ أَجْرًا ۚ }   المزمل

 

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na kheri yoyote mnayo itanguliza kwa ajili ya nafsi zenu mtaikuta kwa Mwenyezi Mungu, imekuwa bora zaidi, na ina thawabu kubwa sana.]      [Surat Al-Muzzammil:20]

 

215:وقال تعالى :{وَمَا تَفْعَلُوا مِنْ خَيْرٍ فَإِنَّ اللَّهَ بِهِ عَلِيمٌ}   البقرة

 

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na kheri yoyote mnayo ifanya Mwenyezi Mungu anaijua.]       [Sura Al-Baqara:215]

 

والآيات في الباب كثيرة معلومة

Na aya katika Mlango huu ni nyingi zajulikana.


 شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى




 
comments