BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


   قال اللَّه تعالى : {فَاسْتَبِقُوا الْخَيْرَاتِ ۚ}       البقرة:148

133:وقال تعالى :{وَسَارِعُوا إِلَىٰ مَغْفِرَةٍ مِّن رَّبِّكُمْ وَجَنَّةٍ عَرْضُهَا السَّمَاوَاتُ وَالْأَرْضُ أُعِدَّتْ لِلْمُتَّقِينَ }   آل عمران


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Basi shindanieni mema]    [Sura Al-Baqara:148]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na yakimbilieni maghfira ya Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni mbingu na ardhi, iliyo wekwa tayari kwa wachamngu,.]     [Suurat Al 'Imran:133]


Sikiliza Sherehe ya Mlango huu na Sheikh Salim Khatib



 
comments