BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعنْ أبي هُريْرة رضي اللَّه عنه : قال قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « قَارِبُوا وسدِّدُوا ، واعْلَمُوا أَنَّه لَنْ ينْجُو أحدٌ منْكُمْ بعملهِ » قَالوا : ولا أنْت يَا رسُولَ اللَّه؟ قال : « ولا أَنَا إلا أنْ يتَغَمَّدني اللَّه برَحْمةٍ منْه وَفضْلٍ »    رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: [Fanyeni wastani (msivuke mipaka) na muwe na msimamo. Jueni kwamba hakuna yeyote yule miongoni mwenu atakayeokoka na 'amali yake.] Maswahaba wakamuuliza: Hata wewe ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu ? Akajibu: [Hata mimi, isipokuwa Mwenyezi Mungu Anifunike kwa rahmah na fadhila Zake.]    [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



 
comments