Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


   قال اللَّه تعالى : {فَاسْتَقِمْ كَمَا أُمِرْتَ}       هود:112

وقال تعالى :{إِنَّ الَّذِينَ قَالُوا رَبُّنَا اللَّهُ ثُمَّ اسْتَقَامُوا تَتَنَزَّلُ عَلَيْهِمُ الْمَلَائِكَةُ أَلَّا تَخَافُوا وَلَا تَحْزَنُوا وَأَبْشِرُوا بِالْجَنَّةِ الَّتِي كُنتُمْ تُوعَدُونَ  نَحْنُ أَوْلِيَاؤُكُمْ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَفِي الْآخِرَةِ ۖ وَلَكُمْ فِيهَا مَا تَشْتَهِي أَنفُسُكُمْ وَلَكُمْ فِيهَا مَا تَدَّعُونَ نُزُلًا مِّنْ غَفُورٍ رَّحِيمٍ}   فصلت:30-32

وقال اللَّه تعالى : {إِنَّ الَّذِينَ قَالُوا رَبُّنَا اللَّهُ ثُمَّ اسْتَقَامُوا فَلَا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ}   الأحقاف:13


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Basi, simama sawa sawa kama ulivyo amrishwa,]     [Huud:112]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Kisha wakanyooka sawa, hao huwateremkia Malaika wakawaambia: Msiogope, wala msihuzunike; nanyi furahini kwa Pepo mliyo kuwa mkiahidiwa.Sisi ni vipenzi vyenu katika maisha ya dunia na katika Akhera, na humo mtapata kinacho tamaniwa na nafsi zenu, na humo mtapata mtakavyo vitaka.Ni takrima itokayo kwa Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.]      [Suuratul Fuss'ilat:30-32]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu; kisha wakatengenea, hawatakuwa na khofu, wala hawatahuzunika.]    [Suuratul Al Ah'qaaf:13]


 شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 129

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e10b7c3bd16783535041791549707
title_6ac8e10b7c40c5889023941791549707
title_6ac8e10b7c4582074801141791549707

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e10b7ca9721249951521791549707
title_6ac8e10b7cae48118289401791549707
title_6ac8e10b7cb2f8554809241791549707 Add content here

HUDUMA MPYA

: 6 + 13 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com