BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عَنْ ابْنِ مَسْعُودٍ رضي اللَّه عنه أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كَانَ يَقُولُ : «اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ الْهُدَى وَالتُّقَى وَالْعفافَ والْغِنَى »    رواه مسلم


Kutoka kwaAbdullaah bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume  alikuwa akiomba: [Ewe Mola, nakuomba uongofu na uchaji,(Mungu) na kuepuka mabaya na ukwasi.]     [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments