BUSTANI YA WATU WEMA
عَنْ أبي سَعيدٍ الْخُدْرِيِّ رضي اللَّه عنه عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إنَّ الدُّنْيا حُلْوَةٌ خضِرَةٌ ، وإنَّ اللَّهَ مُسْتَخْلِفُكُمْ فِيهَا . فينْظُر كَيْفَ تَعْمَلُونَ . فَاتَّقوا الدُّنْيَا واتَّقُوا النِّسَاءِ. فَإِنَّ أَوَّلَ فِتْنةِ بَنِي إسْرَائيلَ كَانَتْ في النسَاء » رواه مسلم
Kutoka kwaAbuu Sa’iyd Al-Khudriy Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Hakika dunia ni tamu rangi ya kijani, Hakika Mwenyezi Mungu Amewatawalisha humo ili Awatazame mtakayotenda. Basi ogopeni dunia na waogopeni wanawake; hakika fitna ya mwanzo kwa wana wa Israil ilikuwa ni katika wanawake.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 989 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.