BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عَنْ عُمَرَ رضي اللَّهُ عنه عَنِ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « لا يُسْأَلُ الرَّجُلُ فيمَ ضَربَ امْرَأَتَهُ »   رواه أبو داود وغيرُه


Kutoka kwa Umar Radhi za Allah ziwe juu yake amehadithia kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Mtu haulizwi sababu ya kumpiga mkewe.]   [Abuu Dawuud na wengineo]

Lakini Hadihti hii Imedhofishwa na wanachuoni.


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments