BUSTANI YA WATU WEMA
عَنْ عُمَرَ رضي اللَّهُ عنه عَنِ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « لا يُسْأَلُ الرَّجُلُ فيمَ ضَربَ امْرَأَتَهُ » رواه أبو داود وغيرُه
Kutoka kwa Umar Radhi za Allah ziwe juu yake amehadithia kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Mtu haulizwi sababu ya kumpiga mkewe.] [Abuu Dawuud na wengineo]
Lakini Hadihti hii Imedhofishwa na wanachuoni.
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 854 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.