BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عَنْ أبي هُرَيْرَةَ رضي اللَّهُ عنهُ قال : قالَ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «مِنْ حُسْنِ إِسْلامِ الْمَرْءِ تَرْكُهُ مَالاَ يَعْنِيهِ »   حديثٌ حسنٌ رواهُ التِّرْمذيُّ وغيرُهُ


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu : [Katika uzuri wa Uislaamu wa mtu, ni kuacha lisilomuhusu.] [Hadiyth hii ni Hasan. Imepokewa na At-Tirmidhiy na wengine]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

comments