BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عن أبي ذَرٍّ جُنْدُبِ بْنِ جُنَادةَ ، وأبي عبْدِ الرَّحْمنِ مُعاذِ بْنِ جبل رضيَ اللَّه عنهما ، عنْ رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، قال : « اتَّقِ اللَّهَ حَيْثُمَا كُنْتَ وأَتْبِعِ السَّيِّئَةَ الْحسنةَ تَمْحُهَا، وخَالقِ النَّاسَ بخُلُقٍ حَسَنٍ »     رواهُ التِّرْمذيُّ وقال : حديثٌ حسنٌ


Kutoka kwa Abuu Dharr, Jundub bin Junaadah na Abuu ‘Abdir-Rahmaan Mu’aadh bin Jabal Radhi za Allah ziwe juu yao wamehadithia kutoka kwa Mtume amesema: [Muogope Mwenyezi Mungu popote ulipo, na ufuatishe tendo jema baada ya tendo baya litakalofuta, na utangamane na watu kwa tabia njema.]     [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema: Hadiyth hii ni Hasan]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 
comments