BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


{قال اللَّه تعالى : {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَكُونُوا مَعَ الصَّادِقِينَ

{وقال تعالى : {وَالصَّادِقِينَ وَالصَّادِقَاتِ

{وقال تعالى : {فَلَوْ صَدَقُوا اللَّهَ لَكَانَ خَيْرًا لَّهُمْ


مقدمة والتعليق على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد السبت حفظه الله تعالى



Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kuweni pamoja na wakweli.]   [Tawba:119]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na wasemao kweli wanaume na wanawake,]    [Al-Ah'zab:35]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Basi wakiwa ni wakweli kwa Mwenyezi Mungu, bila ya shaka itakuwa ni kheri kwao.] [Muh'ammad:21]


 
comments