Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وَعنْ أبي إِبْراهيمَ عَبْدِ اللَّه بْنِ أبي أَوْفي رضي اللَّهُ عنهمَا أَنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم في بعْضِ أَيَّامِهِ التي لَقِيَ فِيهَا الْعَدُوَّ ، انْتَظرَ حَتَّى إِذَا مَالَتِ الشَّمْسُ قَامَ فِيهمْ فَقَالَ: « يَا أَيُّهَا النَّاسُ لا تَتَمنَّوا لِقَاءَ الْعدُوِّ ، وَاسْأَلُوا اللَّه العَافِيَةَ ، فَإِذَا لقيتُموهم فاصْبرُوا ، وَاعْلَمُوا أَنَّ الْجَنَّة تَحْتَ ظِلاَلِ السُّيُوفِ » ثُمَّ قَالَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « اللَّهُمَّ مُنْزِلَ الْكِتَابِ وَمُجْرِيَ السَّحَابِ ، وَهَازِمَ الأَحْزابِ ، اهْزِمْهُمْ وَانْصُرْنا عَلَيْهِمْ »  متفقٌ عليه  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Ibraahiym ‘Abdillaah bin Abiy Awfa Radhi za Allah ziwe juu yao  kwamba Mtume ﷺ katika baadhi ya siku alizokutana na adui, alingoja hadi jua lilipopinduka, akasimama na akawaeleza: [Enyi watu, msitamani kukutana na adui, muombeni Mwenyezi Mungu afia (salama), na mtakapo kutana nao, subirini, na fahamuni kuwa Pepo iko chini ya vivuli vya panga.] Halafu Mtume ﷺ akaomba: [Ewe Mola Mteremsha Kitabu, Mwenye kuendesha mawingu, Mwenye kuyashinda makundi, Washinde na Utunusuru.]            [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 126

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e11d013ae7016691601791549725
title_6ac8e11d013ed7108870721791549725
title_6ac8e11d0143e20840658931791549725

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e11d01eed15455377711791549725
title_6ac8e11d01f3a2561236371791549725
title_6ac8e11d01f844649981081791549725 Add content here

HUDUMA MPYA

: 3 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com