BUSTANI YA WATU WEMA
وعنْ أَبِي هُريْرَةَ رَضيَ اللَّهُ عنهُ
أَنَّ رَجُلاً قَالَ للنَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : أوْصِني ، قَالَ : « لا تَغضَبْ »
فَردَّدَ مِراراً قَالَ ، « لا تَغْضَبْ » رواه البخاريُّ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema kuwa: “Mtu mmoja alimwambia Mtume ﷺ: “Niusie.” (Mtume ﷺ) Akamwambia: [Usikasirike.] Akarudia ombi lake mara nyingi, (Mtume ﷺ) akamwambia: [Usikasirike.] [Imepokewa na Bukhari]