BUSTANI YA WATU WEMA
وعنْ أَبي هُرَيرة رضيَ اللَّهُ عنه قال : قال رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ يُرِدِ اللَّهُ بِهِ خَيْراً يُصِبْ مِنْهُ » : رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu amesema: Amesema Mtume ﷺ : [Anayependelewa kheri na Mwenyezi Mungu Humpa msiba.] [Imepokewa na Bukhari]