BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعَنْ أَنسٍ رضي اللَّه عنه قال : سَمِعْتُ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ : « إنَّ اللَّه عَزَّ وجَلَّ قَالَ : إِذَا ابْتَلَيْتُ عَبدِي بحبيبتَيْهِ فَصبَرَ عَوَّضْتُهُ مِنْهُمَا الْجنَّةَ » يُريدُ عينيْه ،   رواه البخاريُّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake  amesema: “Nilimsiki Mtume  akisema: “Hakika Mwenyezi Mungu  Amesema: [Nitakapomuonda mja Wangu kwa kukosa vipenzi vyake na akasubiri, Nitambadilishia Pepo badala yake.]    [Imepokewa na Bukhari]

akikusudia macho mawili


 
comments