Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وَعَنْ أَنَسٍ رَضِي اللَّهُ عَنْهُ قَالَ : مَرَّ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِامْرَأَةٍ تَبْكِي عِنْدَ قَبْرٍ فَقَال : «اتَّقِي الله وَاصْبِرِي » فَقَالَتْ : إِلَيْكَ عَنِّي ، فَإِنِّكَ لَمْ تُصَبْ بمُصِيبتى، وَلَمْ تعْرفْهُ ، فَقيلَ لَها : إِنَّه النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فَأَتتْ بَابَ النَّبِّي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فلَمْ تَجِد عِنْدَهُ بَوَّابينَ ،فَقالتْ : لَمْ أَعْرِفْكَ ، فقالَ : « إِنَّما الصَّبْرُ عِنْدَ الصَّدْمَةِ الأولَى »    متفقٌ عليه

  وفي رواية لمُسْلمٍ : « تَبْكِي عَلَى صَبيٍّ لَهَا


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Alipita Mtume ﷺ akamuona mwanamke akilia mbele ya kaburi. Akamwambia: [Mche Mwenyezi Mungu na usubiri.] Yule mwanamke akasema: “Niondokee, kwani hujapatwa na msiba kama wangu!” Wala hakumjua. Akaambiwa: Huyo alikuwa ni Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ, akaenda hadi kwenye mlango wa Mtume ﷺ na hakuwakuta walinzi, akamwambia (Mtume ﷺ): “Nilikuwa sijakujua kama ni wewe.” Mtume ﷺ akamwambia: [Hakika subira ni mwanzo wa kupatwa na msiba.]    [Imepokewa na Bukhariy na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine ya Muslim imesema: [Alikuwa akimlilia mwanawe.]

 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 122

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e12664e7f12753733301791549734
title_6ac8e12664ed021170923421791549734
title_6ac8e12664f1d5387764441791549734

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1266554c7723546251791549734
title_6ac8e1266557e19178100151791549734
title_6ac8e126655cb17254380761791549734 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com