BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وَعَنْ أبي هريرة رَضِي اللَّهُ عَنْهُ أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ : « يَضْحكُ اللَّهُ سبْحَانُه وتَعَالَى إِلَى رَجُلَيْنِ يقْتُلُ أحدُهُمَا الآخَرَ يدْخُلاَنِ الجَنَّة ، يُقَاتِلُ هَذَا في سبيلِ اللَّهِ فيُقْتل ، ثُمَّ يَتُوبُ اللَّهُ عَلَى الْقَاتِلِ فَيسْلِمُ فيستشهدُ »    مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba: Mtume wa Mwenyezi Mungu  amesema: [Mwenyezi Mungu Huwacheka watu wawili, mmoja anamuua mwengine, wote wakaingia Peponi. Huyu atapigana na huyu katika njia ya Mwenyezi Mungu, atauliwa. Kisha Mwenyezi Mungu Atamsamehe aliyeua kwa kusilimu naye akafa shahidi.(kwa kuliwa katika jihadi)]      [Imepokewa na Bukhariy na Muslim]


 
comments