BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وَعَنِ ابْنِ عَبَّاس وأنس بن مالك رَضِي الله عنْهُم أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ : « لَوْ أَنَّ لابْنِ آدَمَ وَادِياً مِنْ ذَهَبِ أَحَبَّ أَنْ يَكُونَ لَهُ وادِيانِ ، وَلَنْ يَمْلأَ فَاهُ إِلاَّ التُّرَابُ ، وَيَتُوب اللَّهُ عَلَى مَنْ تَابَ »    مُتَّفَقٌ عَليْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Kutuka kwa Abdullaah bin ‘Abbaas na Anas bin Maalik Radhi za Allah ziwe juu yao  kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu  amesema: [Lau mwanadamu angalikuwa na Bonde la dhahabu, angalipendelea awe na mabonde mawili, wala hakuna kitakachoweza kumtosheleza mdomo wake isipokuwa ni mchanga. Na Mwenyezi Mungu Humkubalia Tawba ya yule mwenye kutubia.]      [Imepokewa na Bukhariy na Muslim]


 
comments