BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أبي مُوسى عَبْدِ اللَّهِ بنِ قَيْسٍ الأَشْعَرِيِّ ، رضِي الله عنه ، عن النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « إِن الله تعالى يبْسُطُ يدهُ بِاللَّيْلِ ليتُوب مُسيءُ النَّهَارِ وَيبْسُطُ يَدهُ بالنَّهَارِ ليَتُوبَ مُسِيءُ اللَّيْلِ حتَّى تَطْلُعَ الشَّمْسُ مِن مغْرِبِها » رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu Musa, Abdullaah bin Qays Al-Ash’ariyy Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume ﷺ amesema: [Mwenyezi Mungu ﷻ Hunyoosha Mkono Wake usiku ili apate kumsamehe alie mkosea mchana, na Hunyoosha mkono wake mchana ili apate kumsamehe alie mkosea usiku, (hali hiyo huendelea) mpaka jua lichomozapo upande wa magharibi] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 883 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.